Sunday, August 18

TAFADHALI SAIDIA KUREJESHA TANZANIA (ARUSHA) MWILI WA MAREHEMU LEYLA MTUMWA KUTOKA LONDON, ENGLAND!

0


Image result for innalillahi wa inna ilahi
Ndugu wapendwa watanzania na marafiki wa Tanzania wote, tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Leyla Mtumwa kilichotokea tarehe 30 March 2018 mjini London baada ya purukushani na mme wake alipigwa kisu na mumewe na kufariki papo hapo. 

Mwili wa marehemu bado unahifadhiwa na police kwa ajili ya uchunguzi ba taratibu nyingine,tutakujulisheni taarifa nyingine tutakayoipata haraka iwezekanavyo.

Msiba utakuwa kwenye address ifuatayo:
 39 Handsworth Road,  N17 6BD,Tottenham.

Kama desturi yetu tulionayo kama jamii tunawaomba michango yenu kwa hali na mali ili kufanikisha zoezi lakusafirisha mwili kwenda Arusha,Tanzania. 

Account details Sort code 20-36-98  
Account no 63049248 Barclays Bank. 
Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
Malick Kieti 07787449340 .
Said John 07957542863.
Enzy Larusai 07956483352. 
Tunatanguliza shukran.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.