Saturday, August 17

SALA YA KUMSALIA MAITI!

0


SALA YA JANAIZA !


INA TAKBIRI 4 TU.
ATAESALI SALA YA MAITI HUFUTIWA DHAMBI MFANO WA JABAL TUUR.
1)Takbiri ya kwanza unasoma Surat Fatiha tu.
2)Takbiri ya pli unamsalia Mtume Swalahu Alaihi wasalam kama unavomsalia ktk sala Nyengine
3)Takbiri ya tatu kumuombea Maita kuifupi utasema :- Allahumaghfirlahu Warhamhu waafihi waaf-anhu Allahumma Inkana Muhsinan Fazid Ihsanihi Wainkana Musiian fatajawaz Anhu.
4) Takbiri ya nne utasoma Allahumma Laatahrimna Ajrahu Walaataftinna Baadau Waghfirlana Walahu kisha unatoe Salamu
Read More

Share.

About Author

Comments are closed.