Thursday, August 22

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA SHADA LA MAUA MAKABURI YA MASHUJAA ENEO LA NATIONAL HEROES ACRE WEST WING HARARE-ZIMBABWE

0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa wa Taifa la Zimbabwe kabla ya kuweka shada la maua katika eneo hilo lililopo kilometa saba kutoka jiji la Harare nchini Zimbabwe.

Share.

About Author

Leave A Reply