Sunday, August 25

Rais Anapokusanya Sadaka

0


Rais John Pombe Magufuli anaweza kuwa rais wa kwanza kuweza kukusanya sadaka wakati wa ibada ukiachia mbali kuonyesha anavyojiamini na kuwaamini watu wake. Maana asingekuwa anawaamini na kujiamini angeogopa kufanya alichofanya. Kama binadamu tena mwenye madaraka, unyenyekevu alioonyesha rais ni wa kupigiwa mfano hasa ikizingatiwa kuwa hii ni mara ya kwanza kutokea si tTnzania tu bali duniani.

Share.

About Author

Leave A Reply