Saturday, August 24

Dogo Janja Atoboa Anachokipenda

0


Mkali wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’ ameweka wazi tabia yake kwamba anapenda kulala sana ikiwa ni kupumzisha akili.

Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’


Alisema tabia hiyo inamsaidia kupata mawazo mapya ya kutunga maisha bora ambayo yatapokelewa vyema na mashabiki wake.


Dogo Janja amesema ingawa anajitahidi kupumzisha akili yake ili atoe kitu kilicho bora lakini bado anapata lawama ya kupenda kulala kutoka kwa watu wake wa karibu.


“Achana na usingizi wewe, yaani mimi nikilala nikiamka huwa ndio napata akili nyingine ya kutunga nyimbo zenye kuwabamba mashabiki zangu, sababu akili yangu inakuwa tayari nimeipumzisha “anasema Dogo Janja

Share.

About Author

Leave A Reply