Thursday, August 22

BAKU, AZERBAIJAN EUFA EUROPA FINAL 2019!

0


Vijimambo live ndani ya final ya EUFA EUROPA kati ya Chelsea na Arsenal,Baku Olympic Stadium, Azerbaijani uwaanja wenye uwezo wa kubeba watazamaji 69,870 ni kati ya viwanja vikubwa na maarufu vya mpira wa miguu duniani.

Ulinzi kama wote polisi wenye mbwa tayari kukalibiana na washabiki wa Uingereza zinakotoka timu hizi maili, UK kunasifa za washabiki wenye fujo duniani hasa linavyokuja swala la mchezo wa mpira wa miguu.

Hapa ni Park  maalumu itakayotumia na shamla shamla za ufunguzi wa final hizo.

Baku pia ni maarufu sana kwa mchezo wa magari  ya kasi yajulikanayo kama Formula 1 ,The FIA Formula One World kwaiyo hapa ni park iliyopewa jina la Formula 1 Park na inavibao vya washiriki wote wa mashindano hayo ya magari yaendayo kasi.  Na 2020 june kutafanyika mshindani hayo ndani ya jiji hili la Baku.

Ny Ebra kutoka New York, USA hadi Baku kushuhudia final hizo za EUROPA akiwa kama mnazi wa Arsenal. Akipata ukodak na wenyeji  wake. Kwa picha zaidi nenda chini kiroho safi.

Udambwi udambwi huo ukionesha  kibao cha Formula 1Baku ndani ya maji.

 Hapa ni Fountain Park ndani ya Baku.


Share.

About Author

Leave A Reply