Saturday, July 20

Uwoya Chaguo Lake Lilikuwa Ndikumana Sio Dogo Janja”-H.Baba

0


Uwoya Chaguo Lake Lilikuwa Ndikumana Sio Dogo Janja”-H.Baba

Msanii wa muziki wa Dansi nchini Hamisa Ramadhan maarufu kama H. Baba ameibuka na kutoa Nemo kuhusu mahusiano ya msanii wa Bongo fleva Dogo Janja na Alice Kuwa mke wake msanii wa Bongo movie Wema Sepetu.

H. Baba ambaye aliwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Uwoya miaka ya nyuma amedai Dogo Janja hakuwa type ya Uwoya Baya kidogo kwani yeye huwa anapendelea wanaume aina ya Marehemu mumewe Ndikumana.
Kwenye mahojiano na Global Publishers, H. Baba alifunguka kuwa Dogo Janja na Uwoya  wasingeweza kudumu kwenye ndoa kwa sababu mwanamama huyo chaguo lake lilikuwa ni Ndikumana pia anapenda wanaume warefu wenye nguvu na miili ya mazoezi.

Unajua Uwoya chaguo lake lilikuwa ni Ndikumana ila Mungu alimpenda zaidi, kwa Janjaro sidhani kama atamuweza maana Uwoya anapenda wanaume warefu wenye nguvu na miili ya mazoezi.

Lakini pia H. Baba amemshauri Dogo Janja akomae kumuomba msamaha mrembo huyo kwani no mke wake halali wa ndoa:

Uwoya angenitema kama Dogo Janja ningeumia sana yaani ningeandamana kutoka Dar mpaka Mwanza kwa miguu maana mke anauma sana lakini  Namshauri Dogo Janja akomae kama ataweza ukomavu kurudisha penzi ila Uwoya ana maamuzi yake binafsi akisema sikutaki ndiyo kamaliza”.

Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Share.

About Author

Leave A Reply