Sunday, August 25

Ukimuona Mbosso Kwenye Show Ujue Amelipwa…- Diamond

0


Msanii wa Muziki, Diamond Platnumz, ametaja kiasi anacholipwa Mbosso kwenye show zake.

“Ukimuona Mbosso kwenye show ujue amelipwa si chini ya Millioni 30. Wakati namchukua Mbosso WCB, Chegge alimwambia kuwa anajichimbia kaburi,” amesema kwenye kipindi cha Block 89 kupitia Wasafi FM.

¬†“Kipindi icho nilikuwa nimeachia Sikomi Chegge alimwambia ogopa bBss wako anaachia wimbo anataja majina ya wanawake wake wote”.





Share.

About Author

Leave A Reply