Sunday, August 25

Simba yamjadili kocha Patrick Aussems

0


Uongozi wa Simba chini ya Bodi ya Wakurugenzi, umefanya kikao kujadili kama wamuongezee mkataba kocha wao mpya, Mbelgiji, Patrick Aussems au wampotezee. 

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tangu timu hiyo itoke kufungwa na TP Mazembe mabao 4-1 katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. 

Mkataba wa kocha huyo na Simba unamalizika mwishoni mwa msimu huu ambapo Julai, mwaka jana alijiunga na timu hiyo. 

Share.

About Author

Leave A Reply