Sunday, August 25

Shilole Afanya Maamuzi haya na Kupost Au la Pink

0


Story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post picha ya ua rose jekundu  na kuwa tofauti na wengine hii ni kutokana na  wengi kuzoea kuona ua jeusi ku-trend na kutafsriwa kama ishara ya penzi kuvunjika.

Ila kwa upande wa staa wa muziki Shilole “Shishi baby” ameamua kuja na maamuzi yake juu ya ua lake mwenyewe la rangi ya pink baada ya kila mtu ku-post picha ya ua rose jekundu na wengine ua rose jeusi na maamuzi yake ameyaweka wazi kupitia account yake ya instagram

Shilole ameandika……Yalianza meusi  yamekuja mekundu let me choose mine #roseschallenge #pinkroseForShishi nimeweka na kizungu ili tuelewane mataifa”Read More

Share.

About Author

Comments are closed.