Sunday, August 25

Rosa Ree Akimbilia South Afrika…Aonekana Studio na Msanii Mkubwa Emtee

0


Msanii wa mkali wa Hip Hop Bongo Rosa Ree ameonekana akipost picha akiwa nchini South Afrika ambapo haijulikani ameenda kufanya nini mpaka sasa ila baadhi ya picha zimeonyesha akiwa na Msanii Mkubwa wa Hip Hip Mwenye Awards Kibao Anayejulikana kama Emtee
Picha hizo zinaonyesha Wakiwa Studio Kitu ambacho kinaonekana ni Bongo la Collabo linapikwa…

Rosa Ree ni Msanii ambae ameweza kuteka watu mbali mbali nje na ndani ya Tanzania kutokana na style yake yakuchana….

Picha zingine zinazoonyesha akiwa South Afrika hizi Hapa chini:

Rosa Ree Akiwa na Don Bambino Director wa Dimo Production

Rosa Ree Akiwa na Meneja wake John KiandikaRead More

Share.

About Author

Comments are closed.