Saturday, July 20

Rapa Fid Q Aponda Marapa Wakike Bongo Wanao Vaa Nguo za Kiume….Amsifia Rosa Ree…Chemical Aibuka na Kufunguka

1Rapper Chemical amesema kuna kipindi alikuwa akipata wakati mgumu sana kuhusu mavazi yake, kuna watu walikuwa wakimshauri avae nguo za kike na wengine wakimwambia avae za kiume, ila yeye alifanya maamuzi magumu ya kuwasikiliza mashabiki wake ndio maana kwa sasa anachanganya mavazi yote.

Leo katika kipindi cha XXL Clouds FM Fid Q ameponda Marap wa Kike wanaovaa nguo za kiume wakiona kuwa ndo fashion wakati imepitwa na wakati, Amemsifia Rapa Rosa Ree kwa kudai kuwa anavaa nguo za kike kama mwanamke na bado anafanya vizuri katika game ya RapuRead More

Share.

About Author