Tuesday, March 19

Mchungaji Mashimo Amlalamikia Wema Sepetu Kumfukuzisha Kanisani

0


Mchungaji Mashimo,  aliyejipatia umaarufu sana hivi karibuni hasa baada ya kujitokeza na kumtolea dhamana mwanadada Amber Rutty na mpenzi wake baada ya kuwa na kesi ya kusambaza picha wakifanya mapenzi kinyume na maumble lakini pia kutokana na kutangaza kutaka kumfanyia maombi mwanadada wema sepetu.

Katika maohjiano na waandishi wa habari, mchungaji mashimo alikuwa akiongelea sababu ya kuwa  maarufu sana kwa sasa na hata kusema kuwa moja ya mikasa aliyowahi kukutana nayo hivi karibuni ni ile alipofukuzwa kanisanani hasa baada ya kutangaza kuwa anataka kumuombea wema sepetu hasa baada ya kukumbwa na skendo ya kusambaza picha zake na mpenzi wake wakiwa faragha.

Mchungaji Mashimo anasema kuwa alipotangaza  kuhusu maombi ya Wema , kanisa lilimuambia achague moja kati aya kumuombea wema au kuachana na kanisa na ndipo yeye alichagua kumuombea Wema.

Mchungaji Mashimo anasema kuwa baada ya kuchagua hivyo ilimfanya afukuzwe katika kanisa hilo na hata kwa sasa amekuwa akisali chini ya mti alipoweka maturubahi na hata kupungua kwa waumini kutoa 80 mpaka 30.

Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Share.

About Author

Leave A Reply