Sunday, August 25

Maskini..Milipuko Yaua Watu Takribani 185 Kanisani Leo Huko Sri Lanka Wakiwemo Watalii

0


Wengine zaidi ya 300 wamejeruhiwa katika milipuko 6 iliyotokea kwenye makanisa wakati wa misa ya Pasaka na hotelini

Makanisa yaliyoshambuliwa ni Kochikade, St Sebastian na Batticaloa huku hoteli zikiwa ni Shangri La, Cinnamon Grand na Kingsbury ambazo zinatajwa kuwa hoteli za hadhi ya juu

Hadi sasa hakuna kikundi kilichodai kuhusika na mashambulio hayo


#SriLankaExplosions

Share.

About Author

Leave A Reply