Friday, August 23

Kiporo Kimeliwa Simba Waichapa KMC bao 2-1

0


Kiporo Kimeliwa Simba Waichapa  KMC  bao 2-1

Hayawi hayawi sasa yamekua ni katika muendelezo wa simba kula viporo ndani ya  uwanja wa ccm kirumba mwanza leo timu ya simba ikiibuka na ushindi mnono wa bao mbili  kwa moja huku.

Bao la kwanza la Simba limepatikana kutoka kwa Emmanuel Okwi dakika ya 23 na kusawazisha na mchezaji mahiri kabisa kutoka KMC Hassan kabunda mnamo dakika ya 57 baaadae kabisa dakika za lala salama John Bocco ameipatia goli la ushindi kwa mkwaju wa pelnati dakika ya 82.

Ni moja ya mchezo ulio kua na mvutano mkubwa kutoka pande zote mbili huku AK 14 Meddie Kagere akikosa penalt

Kwa matokea haya sasa simba imemfikia azam fc kwa kuwa na point sawa

Share.

About Author

Leave A Reply