Friday, August 23

Hatimaye Daimond na Babaake Wamalizana Wakutana Uso kwa Uso na Kuombana Msamaha

0


Baba mzazi wa Msanii, Diamond, Abdul Juma amefunguka ishu ya kumuomba msamaha mwanae huyo.

Baba Diamond amesema kuwa yeye ni mtu mzima na msanii huyo ni mwanae hiyo hawezi kumuomba msamaha.

“Mimi ni mtu mzima huyu ni mwanangu siwezi kumuomba msamaha, nataka tu haya yaishe,” Baba Diamond ameiambia Wasafi FM.

Kuliwahi kuwa na tetesi kuwa Diamond haelewani kwasababu katika malezi hakulelewa na baba yake.

Share.

About Author

Leave A Reply