Sunday, August 18

Dalili 8 za Kukujuza Kuwa Mumeo ana Mahusiano na House Girl

0


1. Anaweza kukufokea hata mbele ya huyo msichana.

2. Anaonyesha upendeleo kwake tofauti na kwa wengine

3. Atakuhimiza umsaidie, umpende umzawadie tofauti na kujali kwa kawaida

4. Anaweza kukuhimiza mkampime HIV na magonjwa mengine kwa kisingizio eti asijekuwaathiri watoto

5. Utaona kiu na vijitiada vyake vya kutaka kuwa karibu naye

6. Anataka muwepo naye kila mnapotoka au kusafiri

7. Anakuwa na udhuru wa yeye kubaki nyumbani au kurudi mida ya kazi wewe ukiwa haupo.

8. Kubadilika kwa ghafla kwa tabia ya binti mfano: dharau.

Sisemi kwamba ni mpaka uone dalili zote kwa mtu huyohuyo, la hasha wengine unaweza kuiona dalili moja tu na wakawa tayari kwenye mahusiano. Ukiona hizi zinazidi ujue wazi mahusiano yapo 

Share.

About Author

Leave A Reply