Saturday, August 17

Aunt Ezekiel Ambabua Anaesema Amemuibia Mume

0


KAZI kwelikweli! Mkali wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefungukia tuhuma za kukwapua mume wa mtu na kusema kuwa anayedai ameibiwa ana lake kwani hajamzaa huyo mwanaume.

Katika mahojiano na Gazeti la Ijumaa juu ya skendo hiyo, Aunt alisema hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayejitoa kwenye mitandao ya kijamii kwamba ameibiwa mwanaume kwani kufanya hivyo ni kujidhalilisha.

“Nashangaa kila kukicha Aunt kaniibia mume, kweli wewe ni mwanamke timamu? Hata hivyo, unalalama kuwa umeibiwa mwanaume kwani umemzaa? Hebu waniache tafadhali,” alisema Aunt.

Share.

About Author

Leave A Reply