Saturday, August 24

Kitenge ndani ya Manyoa.#kichenparty#vitenge

0Tunapozungumzia ubunifu,ni ufundi anaoutumia msanii yeyote katika kuwasilisha/kufanya kazi yake iwe tofauti na na kazi za watu wengin

Vazi La kitenge ni vazi unaloweza kuchanganya na kitambaa au mapambo yoyote katika ubunifu na ukapata vazi LA kipekee ,kama hilo vazi ni la kitenge ila limetiwa nakshi za manyoa kazi kwako.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.