Sunday, August 25

WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA NYUMBA WATEULIWA. POLEPOLE MMOJA WAO

0


Waziri Lukuvi ameteua wajumbe hao 7 wa bodi ya shirika la nyumba la taifa, jana Mei 20, 2019 siku chache baada ya Rais Magufuli kumteua Dr. Sophia Kongela kuwa Mwenyekiti wa bodi hiyo.

Wajumbe walioteuliwa ni: 

1. Bi. Immaculate Senye

2. Bi. Sauda Msemu 

3. Bw. Abdallah Mwinyimvua 

4. Bw. Humphrey Polepole 

5. Bw. Martine Madeke 

6. Eng. Mwita Rubirya

7. Bw. Charles Singili 

Barua ya uteuzi

Share.

About Author

Leave A Reply