Wednesday, August 21

MWALIMU WA MADRASA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA SINGIDA

0


Mwalimu Daudi Idd Karata mwenye umri wa miaka 26 amekumbana na hukumu hiyo kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa hatia ya kumnajisi Mtoto wa kike wa miaka 8

Mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa ni Mwanafunzi wa Darasa la Pili katika Shule ya Msingi ya Unyankindi. 

Kijana Daudi Idd Karata alitenda makosa hayo kati ya mwezi Desemba mwaka 2016 na mwezi Oktoba mwaka 2017 kosa ambalo ni kinyume na vufungu 130 (1) (2) (e) na 131 (3) vya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai. 

Mshitakiwa alijitetea kuwa yeye ni Mwalimu wa Dini na hawezi kufanya makosa kama hayo. 

Share.

About Author

Leave A Reply