Thursday, August 22

KEVIN HART ‘AZIDISI’ SUNDAY SERVICES ZA KANYE WEST

0


Kanye & Kevin Hart
Kevin Hart (kushoto) akiwa na Kanye West

Kwa gharama yoyote ile huwezi kumpeleka Kevin Hart kwenye huduma ya ibada ya jumapili inayotolewa na Kanye West. 

Kwenye mahojiano na Bevy Smith wa Sirius XM, Hart aliulizwa kama yeye na familia yake watakuja kuhudhuria ibada hiyo siku moja, alijibu; “Siwezi, sijapanga kwenda. Nafikiri ni vizuri kwamba amegundua kitu kizuri cha kufanya. Ni mbunifu na napenda ubunifu wake. Namtakia heri.”

Hii imekuja kutokana na Kevin Hart kutokubaliana na baadhi ya comment za Kanye West ikiwemo kumuunga mkono Rais Donald Trump.

Share.

About Author

Leave A Reply