Sunday, August 18

JIANDAE KUTOKUWA NA UWEZO WA KU-SCREENSHOT KWENYE WHATSAPP

0


Kwa wale mabingwa wa Ku-Screenshot chats za WhatsApp, Updates mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni imedai kuwa watumiaji hawatakuwa na uwezo wa ku-screenshot chats zozote zile. 

Update hiyo inakuja ikiwa inaambatana na kitu kipya ambacho utakuwa unafungua WhatsApp yako kwa kutumia FACE ID, Fingerprint pamoja na Eyescanner kama toleo la simu yako litakuwa na uwezo wa vitu hivyo. 

Hii inasemekana kuwa ni suluhisho la malalamiko na ugomvi mwingi uliokuwa ukitokea kila watuamiaji walipokuwa waki-screenshot mazungumzo yao. 

Share.

About Author

Leave A Reply