Sunday, August 25

Taarifa muhimu kuhusu Kimbunga Kenneth kitakachoukumba Mkoa wa Mtwara leo

0


Mkuu wa Mkoa Mtwara, Gelasius Byakanwa ameagiza watumishi wote kutokwenda kazini na wanafunzi kutokwenda shuleni leo Aprili, 25, kutokana na utabiri wa uwepo kwa Kimbunga Kenneth katika pwani ya kusini. Kimbunga hicho kinatarajiwa kutokea kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 8 mchana.

Hapa chini ni taarifa ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani kuhusu kimbunga hicho:

Share.

About Author

Leave A Reply