Saturday, August 17

Simba yafuzu raundi ya pili, kuwavaa Al Masry ya Misri

0


Klabu ya Simba SC imefuzu hatua ya pili ya michuano ya Kombe la Shirkisho barani Afrika baada ya kuiondosha Gendarmerie kwa jumla ya mabao 5-0 kufuatia ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa leo.

Bao pekee katika mchezo huo  limefungwa na mganda Emmanuel Okwi.

Simba kwa kufuzu hatua hiyo sasa itakutana na timu ya Al Masry ya Misri iliyoiondosha Green Buffaloes ya Zambiea kwa jumla ya mabao 5-2.

‪ ‬
‪Tarehe ya mchezo wa kwanza raundi ya pili itakua kati ya Machi 6-7, 2018 Uwanja wa Taifa Dar es salaam na marudiano kuwa Machi 26-18, 2018 mji wa Port Said – Misri.‬Read More

Share.

About Author

Comments are closed.