Saturday, August 17

Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Gendarmerie, Okwi apewa Kitambaa

0


Mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederatation Cup) kati ya Gendarmerie dhidi ya Simba utachezwa leo saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Simba watakua ugenini jijini Djibouti kuwakabili wenyeji Gendarmerie huku akiwa na faida ya mabao 4-0 aliyoyapata katika mchezo wa awali jijini Dar es salaam.

Katika mchezo huo Simba itamkosa nahodha wake John Bocco ambaye ni majeruhi, ambapo Emmanuel Okwi leo ataongoza jahazi hilo kama nahodha.

Kila la kheri Simba SC

Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Gendarmerie leo:

GK Aishi Manula

Nicholaus Gyan, Asante Kwasi, Juuko Murushid, Yusuph Mlipi

James Kotei, Jonas Mkude

Mzamiru Yassin, Emmanuel Owki (c), Shiza Kichuya

Wachezaji wa Akiba:

Emmanuek Mseja, Ally Shomary, Mohamed Hussein, Paul Bukaba, Mwinyi Kazimoto, Said NdemlaRead More

Share.

About Author

Comments are closed.