Sunday, August 25

Twitter yapiga marufuku matangazo ya sarafu za kidigitali

0


Mtandao wa kijamii ya Twitter umetangaza kupiga marufuku matangazo ya sarafu za kidigitali (Cryptocurrency) na kuanzia jumanne hakutakuwa na matangazo ya sarafu hizo katika mtandao wake. Uamuzi kama huu tayari umeshachukuliwa na makampuni mengine kadhaa ya huduma za matangazo ya mtandaoni kama vile Google, na Facebook. Sababu kuu ambayo imetolewa na mitandao hiyo ni kwamba […]

The post Twitter yapiga marufuku matangazo ya sarafu za kidigitali katika mtandao wake appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.