Saturday, July 20

Safaricom yaendelea kupata faida zaidi

0


Kampuni ya mawasiliano, Safaricom imeendelea kutamba baada ya kupata ongezeko la faida asilimia 20.22 kwa miezi sita kufikia Septemba 2018. Ongezeko hilo linahusishwa miamala ya M-Pesa kufanyika mara dufu. Ripoti hii ni kulingana na kampuni hiyo ni baada ya kutozwa kodi, Safaricom iliripoti faida ya Ksh. 31.5 bilioni ikilinganishwa na Ksh. 26.20 bilioni mwa mmoja […]

The post Safaricom yaendelea kupata faida zaidi appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

Share.

About Author

Leave A Reply