Tuesday, August 20

Ripoti TCRA: Idadi ya watumiaji wa Intaneti yaongezeka Kufikia milioni 23 – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ya mpaka Desemba 2017 imeonesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti imeongezeka kufikia watu milioni 23 ambayo ni sawa na asilimia 45 ya Watanzania wote. Takwimu imeonesha kuna ongezeko kubwa la watumiaji wa Intaneti mwaka hadi mwaka. Takwimu ya mwaka 2012 ya watumiaji wa Intaneti ilikuwa ni milioni […]

The post Ripoti TCRA: Idadi ya watumiaji wa Intaneti yaongezeka Kufikia milioni 23 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.