Monday, August 19

Oppo F7: imekuja na kamera ya selfie yenye MegaPixel 25

0


Baada ya uzinduzi wa Vivo V9 na Samsung Galaxy J7 prime 2 nchini India,  Oppo nayo  imekuchukua nafasi ya kuonesha upinzani wake kwa wengine. Oppo imezindua simu janja yake inayotambulika kama Oppo F7. Simu hii bila shaka itawavutia wale wenye kupenda kujipiga Selfie kwani ina MegaPixel za kutosha. Kamera ya mbele (Selfie) ina MegaPixel 25 hivyo […]

The post Oppo F7: imekuja na kamera ya selfie yenye MP 25 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.