Monday, August 19

OFA: Mohamed Salah akifunga goli tu, watu wanapata muda wa maongezi wa dakika 11 bure – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Wateja wa kampuni ya mawasiliano ya Vodafone nchini Misri wamo mbioni kupata dakika 11 za bure za kuongea kwenye simu. Kwa mujibu wa tovuti ya 101 Great Goals, zawadi hii itapatikana pale tu mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah atakapofunga goli katika mechi zilizosalia za msimu wa 2017-2018. Vodafone ambayo mwaka 2017 iliripotiwa kuwa na wateja […]

The post OFA: Mohamed Salah akifunga goli tu, watu wanapata muda wa maongezi wa dakika 11 bure appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.