Tuesday, August 20

Nokia kuja na simu yenye kicharazio cha QWERTY

0


Kwa miaka kadhaa BlackBerry katika matoleo ya simu zake imetumia kicharazio (Keyboard) halisi kuwashawishi watumiaji wake kwamba ni kicharazio kizuri na kisicho kufa kirahisi. Kwa sasa simu zinazotumia jina la Nokia zinatengenezwa na kampuni inayokwenda kwa jina la HMD. Hata hivyo takwimu zinaonesha keyboard hizo hazipendwi tena na watumiaji wengi zaidi ya zile za kisasa […]

The post Nokia kuja na simu yenye kicharazio cha QWERTY appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.