Thursday, August 22

Mlipuko wa simu wamuua msichana wa miaka 18

0


Msichana mwenye umri wa miaka 18 nchini India aitwaye Uma Omram amefariki dunia kwa mlipuko uliosababishwa na simu ya Nokia 5233 wakati alipokuwa anaitumia kuongea. Taarifa zinasema binti huyo alikuwa anaongea na simu hiyo iliyokuwa imechomekwa kwenye chaji ndipo mlipuko huo ulipotokea. Mlipuko huo ulimjeruhi mkono wake, mguu na kifua na baadae alikimbizwa hospitalini ambako […]

The post Mlipuko wa simu wamuua msichana wa miaka 18 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.