Monday, August 19

Mark Zuckerberg wa Facebook aomba radhi kwa kashfa ya Analytica – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Hatimae mwanzilishi wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge Analytica amevunja ukimya na kudai kwamba wamefanya makosa. Analytica inatuhumiwa kuingilia data za watumiaji milioni 50 wa mtandao wa Facebook. Katika ujumbe wake kupitia ukurasa wake wa Facebook Zuckerberg amesema kitendo hicho kimewavunjia uaminifu. Hivyo, kutokana na […]

The post Mark Zuckerberg wa Facebook aomba radhi kwa kashfa ya Analytica appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.