Tuesday, August 20

Marekani yawaonya wananchi wake kutotumia bidhaa za Huawei

0


Kampuni ya Huawei kwa muda mrefu imekuwa ikifanya jitihada ya kuteka soko la Marekani na hivi karibuni imefurahi mafanikio katika maeneo kadhaa ya Marekani kwa kuuza simu janja zake kwa wingi. Hata hivyo inaonekana serikali ya Marekani itakuwa kikwazo kikubwa zaidi kwa kampuni hiyo kuendelea kufanya vizuri na kusambaza simu zake katika soko la Marekani. […]

The post Marekani yawaonya wananchi wake kutotumia bidhaa za Huawei! #Ujasusi #Udukuzi appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.