Sunday, August 25

Huduma ya 5G ya kwanza kwa watu wote yawashwa kwa majaribio!

0


Kampuni kubwa ya mawasiliano ya Telstra ya Australia mwanzoni mwa wiki hii imewasha teknolojia ya 5G ya majaribio yenye kasi zaidi kwa njia ya Wi-Fi. Kampuni hiyo inakuwa ya kwanza kuwasha teknolojia ya 5G duniani na itapatikana bure katika michezo ya jumuiya ya madola (GC2018) itakayofanyika nchini humo kuanzia April 04 mpaka April 15 mwaka […]

The post Huduma ya 5G ya kwanza kwa watu wote yawashwa kwa majaribio! #Australia appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.