Thursday, August 22

FIFA: Teknolojia ya video kutumika kombe la Dunia 2018 Urusi – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Shirikisho la mpira wa miguu duniani, FIFA limeruhusu rasmi matumizi ya teknolojia ya video yaani Video Assistant Refrees (VAR) kutumika katika mechi za Kombe la Dunia 2018 mwezi Juni huko nchini Urusi. VAR itasaidia kufanya maamuzi ambayo yametolewa na mwamuzi wa uwanjani lakini hayakuwa sahihi na hii itasaidia kupunguza nafasi ya nchi nyingi kurudi nyumbani mapema […]

The post FIFA: Teknolojia ya video kutumika kombe la Dunia 2018 Urusi appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.