Thursday, August 22

Facebook na Cambridge Analytica zaburuzwa mahakamani – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Facebook na kampuni ya kutoa ushauri wa kisiasa ya Cambridge Analytica zimeshtakiwa nchini Marekani kwa kutoa habari za siri za zaidi ya watu 50 milioni wanaotumia huduma za mtandao huo wa kijamii bila idhini yao. Kesi hiyo iliyowasilishwa Jumanne jioni na Lauren Price, mkazi wa Maryland, ni ya kwanza dhidi ya Facebook kutokana na kutomakinika […]

The post Facebook na Cambridge Analytica zaburuzwa mahakamani appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.