Saturday, May 25

HUDUMA MPYA MJINI DAR ES SALAAM!!!!!!!!!

0

Msosi Fasta Food delivery service. huduma hii inakuwezesha  wewe kupata chakula ukipendacho ukiwa sehemu yoyote Dar es salaam. Msosi fasta inakuletea chakula kutoka restaurant yoyote apa dar es salaam mpaka mahali popote ulipo iwe ofisini au nyumbani .Ni rahisi unapiga simu kutoa oda yako ya chakula na sisi tuna kuletea ndani ya mda wa dakika 45.
Hamna haja ya wewe kukaa kwenye foleni, kupanga mistari mirefu kwenye restaurants kupata chakula. Tupigie sisi tukuletee.
Orodha ya menus na restaurant ipo kwenye website yetu www.msosifasta.comama tembelea facebook page www.facebook.com/msosifasta.
Hii huduma inatolewa kwa maofisini, nyumbani, na kwenye sherehe za kila aina.
kwa kuweka oda au maelezo zaidi piga simu  0767 780000, 0659 594 411

Read More

Share.

About Author

Comments are closed.