Saturday, May 25

HAPPY MOTHER’S DAY

0


RIP my Mama , happy Mothers day

May all the love u give to us come back to u on this special day.only a mother can communicate love without saying a word.thank u for being a great mama n a good friend,thanx for being there wen we needed u the most.

HAPPY mother’s day to the greatest mom in the world mama sarah(mrs Konisaga).

SOPHIA & MAMA MKAMBA


Zainab na Mama ake


 MAMA YANGU MPENZI BIBI TABU MAHIMBALI AMBAYE AMEFARIKI TAREHE 12/01/2013. SIDHANI KAMA NINA NENO SAHIHI LA KUANDIKA KUMUHUSU YEYE ZAIDI YA KUSEMA KUWA NILIKUWA NA NINA BAHATI YA KUWA NA MAMA KAMA YEYE. ALIKUWA KILA KITU KWETU, MPIGANAJI NA PIA MSULUHISHAJI KWENYE KILA KITU. NAZIDI KUMPENDA KILA NINAPOKAA KUANDIKA KUHUSU YEYE. REST IN PEACE MAMA. LOVE YOU ALWAYS.

  I WILL ALWAYS LOVE YOU MY MUM – HelenMimi augusta aukala pamoja na mama yangu kipenzi bi hadija george kalamule nampenda sana my mom,my superwoman!!damu ya yesu izidi kutufunika”

Ninna na baby boy Feysal.

siku ya wamama duniani nikiwa na watoto wangu uyo mkubwa anaitwa Batlet na uyo mdogo anaitwa Bethany, nawapenda sana

“Mimi augusta aukala sambamba na mamangu kipenzi bi hadija george kalamule my superwoman,my hero!! Nampenda saaanaaa mamangu!damu ya yesu izidi kutufunika”

Furahia cheo alichokupa mungu kupata fulsa ya kuitwa mama. Anna & joyce (joan)

Rukia Kilwanda n her mom, mama kiroboto@ morogoro

LINDA  BEZUIDENHOUT AKIWA NA WANAE NA MS.GEROGIA PLUS AMERICA  2013, 
AKIWA AMEVAA NGUO YA  LB  ALIO  IVAA  SIKU ALIOFANYA FIRST 
APPEARANCE  TOKA AVISHWE TAJI APRIL

My first born is Amani Kinabo,the 2nd born is Stacie-Rose Kinabo and the last one is Achilles Kinabo,  Reza Kinabo.
Pina and her daughter caren

Read More

Share.

About Author

Comments are closed.