Thursday, August 22

WAZIRI SHONZA AZIDI KUPINGWA NYIMBO ZA DIAMOND KUFUNGIWA

0


Dear Mheshimiwa Naibu Waziri Mh. J. Shonza we have always been kool kwa sababu wote tupo Chama kimoja yaani Chama Tawala I have always respected your views lakini kwenye hili la kushirikiana na huyo “MUNGU MTU” wa hicho kituo cha Radio anayetaka Wasanii wampigie magoti ninaomba kutofautiana na wewe …hua sio rahisi kwangu kusimama against Kiongozi yoyote wa Serikali na Chama changu in the Public lakini kwenye hili la wewe kushindana na Msanii maarufu kioo chetu cha Taifa Dunianiiani on a serious note umeshauriwa vibaya sana na naona kama unataka kurudia makosa ya waliokutangulia ya Kiongozi kuchukua side za mabifu ya kijinga na kitoto baina ya Wanajamii hasa katika our Entertainment industry …in the first place Kiongozi wa Taifa of your level badala ya kwenda kwenye neutral ground like TBC kuongelea Wasanii uliowafungia wewe ukaenda kwa “MUNGU MTU” mwenye mabifu na Msanii maarufu Duniani Mtanzania kama wewe na mimi ambaye na yeye umefungia miziki yake huku ukijua wazi kua yule “MUNGU MTU” ana mabifu ya kufikia kufungia miziki yake kutopigwa kwenye Radio anayoifanyia kazi what was that? ni nani aliyekupa huu ushauri so shallow minded na so low? na ulikua unajaribu kutuambia nini Wanachi ambao some of us tunao uwezo wa kuona na kujua kila kitu kinachoendelea behind the scene? ..I mean WaTanzania tumeaibika sana kwenye music industry Duniani na kwa muda mrefu sana leo finally Mungu amesikia kilio chetu tuna Msanii anayetuweka kwenye ramani ya Dunia ni majuzi amechaguliwa kutengeneza Wimbo na Show ya ufunguzi katika Mashindano ya Kombe la Dunia leo wewe upo busy kupigana naye kwenye Social Media hivi sisi Wabongo what has gone wrong na our thinking? ..halafu naomba kuuliza Naibu Waziri hivi kweli ndiye anayetakiwa kufungia miziki au Basata? hivi ni kweli Naibu Waziri ndiye uliyetakiwa kuwaita kina Gigi Money na Sanchi kweli seriously kuhusu mavazi na tabia zao kama wasanii? ..I mean something is wrong mheshimiwa aidha unatumiwa bila kujijua au you are missing something but kitendo cha wewe kuungana na “MUNGU MTU” against Diamond HAKIKUBALIKI CHANGE NOW! – @lemutuz_superbrand

LikeRead More

Share.

About Author

Comments are closed.