Saturday, August 24

WAZIRI KIGWANGALLA, RIDHIWANI WATEMBELEA UFUKWE WA SAADAN BAGAMOYO

0


Waziri wa Maliasili na Utalii, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Gaudence Milanzi kuanzisha mchakato wa kisheria wa kupandisha hadhi Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Wamimbiki kuwa Pori la Akiba ili iweze kuhifadhiwa vizuri baada ya kushindwa kujiendesha

 Read More

Share.

About Author

Comments are closed.