Tuesday, August 20

WAFANYABIASHARA WA UTURUKI WATEMBELEA SHAMBA LA PAPAI LA MWANACHAMA WA MKIKITA KIGAMBONI

0


 Meneja Masoko wa Vipuri wa Kampuni ya Mitambo ya Kilimo, Anadolu Motor, Ferruh Bicer (kulia) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (MKIKITA), Adam Ngamange wakiangalia papai katika shamba la mmoja wa wanachama wa  Mtandao huo, Kigamboni, Dar es Salaam. Wafanyabiashara hao wameahidi kuitafutia Mkikita masoko zaidi ya zao hilo na mengineyo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0715264202,0689425467

 Mfanyabiashara Akut kutoka Kampuni ya Anadolu Motor ya Uturuki,  akisalimianana msimamizi wa shamba la papai baada ya kuwasili kuangalia shamba hilo.

 Meneja Masoko wa Vipuri wa Kampuni ya Mitambo ya Kilimo, Anadolu Motor, Ferruh Bicer akirekodi video shamba hilo kwa kutumia simu.

 Mlezi wa Mtikita, Dk. Prince Bagenda (wa pili kushoto) akiwaonesha wafanyabiashara hao papai linalokaribia kuiva. Wafanyabiashara hao wameahidi kutafuta masoko ya zao hilo Uturuki

  Meneja Masoko wa Vipuri wa Kampuni ya Mitambo ya Kilimo, Anadolu Motor, Ferruh Bicer  akiangalia shamba hilo

 Mlezi wa Mkikita, Bagenda (kulia), akizungumza na ugeni huo

 Akuti akiangalia shamba hilo

 Sehemu ya shamba hilo

 

 Wafanyabiashara hao kutoka Uturuki wakiangalia shamba hilo

 Ngamange akizungumza jambo na ugeni huo mara baada ya kurea hotelini Ramada. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mkikita, Dk. Kissui.

 Wageni wakiagana na wenyeji wao

 Meneja Masoko wa Vipuri wa Kampuni ya Mitambo ya Kilimo, Anadolu Motor, Ferruh Bicer  akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Mkikita, Dk. KissuiRead More

Share.

About Author

Comments are closed.