Sunday, August 18

TRA YAKUTA BIL 8 AKAUNTI YA KANISA LA KAKOBE, YEYE BINAFSI HANA KITU

0


TRA imesema imemfanyia uchunguzi Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel, Zachary Kakobe na kubaini kuwa hana akaunti ya benki katika taasisi yoyote ya kifedha hapa nchini lakini katika akaunti ya kanisa ambayo Kakobe ni moja ya wasimamizi wamekuta bilioni 8.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.