Tuesday, August 20

Rais wa zamani wa Korea Kusini akabiliwa na kifungo cha miaka 30

0
Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Korea Kusini imeomba kifungo cha miaka thelathini dhidi ya rais wa zamani wa nchi hiyo Park Geun-hye, ambaye alitimuliwa mamlakani mwaka jana baada ya kushtumiwa kutumia vibaya wadhifa wake na kusababisha mdororo wa uchumi.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.