Thursday, August 22

TRA yabaini Askofu Kakobe hana akaunti ya benki, yakuta bil. 8 katika akaunti ya kanisa

0


Mamlaka ya Mapato (TRA) imesema imemfanyia uchunguzi Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel, Zachary Kakobe na kubaini kuwa hana akaunti ya benki katika taasisi yoyote ya kifedha hapa nchini lakini katika akaunti ya kanisa ambayo Kakobe ni moja ya wasimamizi wamekuta bilioni 8.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.