Thursday, August 22

DC Hapi atoa saa 48 kwa waliomuuzia kiwanja Mandojo

0


Mkuu Wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi ametoa saa 48 kwa watu wote walioshiriki kumuuzia kiwanja mwanamuziki wa Bongo Fleva, Joseph Francis (Mandojo) kujisalimisha kwake.

Hapi ameyasema hayo baada ya kufika katika eneo ambalo Mandojo alikuwa amejenga ambapo pamoja na agizo hilo, pia amelitaka Jeshi la Polisi kuwakamata endapo hawatajisalimisha ndani ya muda huo.

“Nawataka wote walioshiriki kununua kiwanja kilichokuwa na nyumba ya Mandojo, Diwani wa eneo hili, baraza lake na msanii huyu wafike ofisini kwangu Jumanne wakiwa na nyaraka zao ili suala hili lipatiwe ufumbuzi,” amesema Hapi.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.