Sunday, August 25

Ona matusi ya Aubameyang

0


Mchezaji wa Kimataifa kutoka Gabon anayekipiga Klabu Ya washika mtutu wa London Piere Aubameyang hivi karibuni amefanya matusi ya Show off. Ameita wapiga picha na kuonesha mizigo ya maana. Mchezaji huyu aliyetokea Borussia Dotmund kwa thamani ya Paundi milioni 56 ameonesha magari yake ya kibabe.

Mshambuliaji huyu ameonesha ndinga za Maana ambazo zimetulia tu getini kwake.

Range Rover ya Rangi ya Dhahabu

Ana magari manne yenye thamani ya Paundi laki 8.

Huu mzigo ni Ferreri 218. Hatari sana. Huu mzigo unaspidi za kwenda Rombo na kurudi dar ndani ya Masaa sita. Sio mchezo. Kitu cha redi hicho. Huo mzigo ukiwa nao kibongo bongo daaah utatesa sana hapa mjini.

Ukiwa mchezaji daah kufuru sana. Haya ndio matunda ya kujituma. Hebj waiteni akina Ajibu na Ndemla waje waone vitu watu wanaendesha mjini. Matunda ya kujituma. Jamaa sio mzungu ni mtu mweusi kama sisi tu.

Ushawahi kusikia Lamborghini? Utaendelea kusikia tu. Huu n mzigo mwingine wa mgaboni huyu. Jamaa ana magari hadi anaumwa. Wachezaj wa Bongo wanawaza vitz na opa tu. Ndoto za kuwaza ndizo hizi.

Orodha ya magari ya kicha huyu wa Gabon

Porsche Panamera Turbo Techart – £140,000

Lamborghini Aventador – £270,000

Ferrari 812 Superfast – £250,000

Range Rover Sport Mansory – £150,000

Uchafu mwingine anaomiliki

Audi R8 V10 Plus – £128,000

Aston Martin DB9 Volante 2 – £140,000

Ferrari 488 Spider – £205,000

Porsche Panamera Mansory C One – £113,000

Volkswagen Beetle Cabriolet – £22,000

Porsche Cayenne Techart Magnum – £60,000

Ferrari 458 Italia – £200,000

Audi R8 2013 – £128,000

Lamborghini Gallardo LP560-4 – £141,000Read More

Share.

About Author

Comments are closed.