Tuesday, August 20

UJUE UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI, DALILI NA TIBA ZAKE

0


Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara  anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.


DALILI ZAKE


 • Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.Na hupata maumivu makali chini ya kitovu baada ya tendo la ndoa
 • Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.
 • Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.


Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-

 • Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
 • Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
 • Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
 • Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
 • Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
 • Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
 • Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
 • Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
 • Kupata uvimbe kwenye kizazi
 • Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi


Madhara yake kwa mwanamke

 • Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
 • Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
 • Kuingia na kutoka kwa mimba
 • Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
 • Kuwa na uke mdogo sanaMadhara kwa Mwanaume


 • Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba
 • Kiwango kinachozalishw cha megu ni kidogo mno
 • Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa
 • Kusimama na kusinyaa kwa uumeTiba ya Chango la Uzazi 


 • Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.

Chazo: Docta Joh BlogRead More

Share.

About Author

Comments are closed.