Monday, August 19

RC RUVUMA AZINDUA MRADI WA PANDA MITI KIBIASHARA

0


Mkuu wa wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amezindua siku ya upandaji miti kimkoa katika halimashauri ya MBINGA,ambapo katika zoezi hilo zaidi ya miti laki mbili imepandwa wilayani humo aina ya paini inayokadiriwa kukomaa baada ya miaka saba

Serikali kupitia mradi wa panda miti kibiashara imetenga shilingi milioni mia moja kwa wilaya ya Mbinga,Nyasa, Na Halimashauri Ya Madaba ,Huku wastani wa hekali moja mkulima anaweza kujipatia shilingi milioni ishirini, HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.